Tukio hilo limetokea kwenye uwanja wa Shah Alam Stadium, ambapo shabiki wa Man U akidhihirisha ni jinsi gani anamsimamo na timu yake, kwa kuweza kusimama mbele ya mashabiki wa Chelsea waliokuwa katika kundi kubwa sana. Hii ndio inaitwa simama katika kile unachokiamini hata kama uko peke yako.
No comments:
Post a Comment