Saturday 27 July 2013

Timbaland a'apologize kwa Chriss Brown

Siku kadhaa zilizopita, mtayarishaji wa muziki nchini Marekani, Timbaland alitoa kauli ambayo inawahusisha wakali wa muziki nchini humo, "Chriss Brown" na "Drake"....kauli hiyo aliyosema kuwa hatagemei Drake na Chriss kufanya kazi na Aaliyah kwa sauti alizoacha kwamba itakuwa poa. (kwa maana haikumvutia).

Producer huyo akaamua kuomba samahani kufuatia kauli hiyo aliyoitoa kwa njia ya Twitter na kuamua kusanuka
Alichosema:
"I want 2 publicly apologize 2 my lil homie @chrisbrown 4 my statements on revolt regarding the Aaliyah collaborations. i actually like the song wit him n Aaliyah, its just when you are talking about babygirl its a very sensitive subject with me. so the people who not only worked with her but grew a bond so tight we are like family so im very over protective over her. I have mad luv 4 my dude @chrisbrown".
Ila kunalingine limezuka ambalo limewaweka watu pasipo majibu, "kwanini msamaha huo umemuhusisha Chriss peke yake na siyo Drake??" kana kwamba aliwataja wote kwenye mahojiano yake aliyoyafanya na mtangazaji wa kituo kimoja cha TV nchini humo.

No comments:

Post a Comment