Mkali kutoka A-Town aliyekuja juu kwenye industry ya kutengeneza video na kuweza kuliteka soko hilo, hapa namzungumzia Nisher aliyefanya baadhi ya vichupa vilivyo'hit kwenye baadhi ya vituo vya TV hapa bongo na East Afrika kwa ujumla, zikiwemo "Sijutii" ya Joh Makini, "Listen" ya Belle 9, "Mama yoyoo" ya G-Nako na "Dole" ya Mabeste na zingine kali toka B'Hits na baadhi ya studio za hapa Bongo.
Leo kupitia mtandao wa kijamii"Facebook", mtu mzima Nisher ameamua kuwapa offer wasanii wote waliokuwa na ndoto za kufanyane kazi...
Hivyo ameamua kutupia status hii:
Hivyo ameamua kutupia status hii:

No comments:
Post a Comment