Tuesday 30 July 2013

Mwisho awasanukia Clouds Media

Baada ya miezi kadhaa sasa tangu issue ya Jide na Clouds kuzidi kusahaulika na kuwarudisha watu katika tension nyingine tena. Sasa Clouds wakutana na kizingiti kingine baada ya  Mshiriki wa BBA-2002, Mwisho Mwampamba kuamua kuwasanukia Clouds Media...Leo hii kupitia mtandao wa kijamii (facebook), Nyota huyo wa Bongo ambaye alishashiriki kwenye baadhi ya filamu za Kinaigeria na baadhi ya matangazo nchini Africa Kusini, ameamua kuandika maneno yanayowahusu Clouds kupitia ukurasa wake wa facebook.
"Clouds fm siwaelewi mnataka nini. Nahisi mnatafuta kupakazwa mafuta ya ubuyu. Tafadhali kusaga naona heshima inapungua. Hadi mifugo yako hujawalea vizuri. Mimi sio msanii na pia sitaajiriwa na kuma wowote yule. Stay away from me n my family". Aliandika nyota huyo.
CHANZO: KizoBrax_Blog

No comments: