
Ni baada ya kuwa kimya kwa muda mrefu sasa, mtu mzima Peter Msechu anatarajia kudondosha ngoma yake mpya inayoitwa "KIBUDU" aliyomshirikisha Mkali kutoka Jumba la vipaji (THT), Ally Nipishe. Kwa mujibu wa chanzo chetu kimeripoti kuwa mzigo utakuwa hewani siku si mingi japo hajaweza kusema siku gani.
Hivyo kama mshabiki na mdau wa Peter Msechu, kaa tayari kwa ujio wake mpya.
No comments:
Post a Comment