Tuesday 16 July 2013

Hii ndiyo familia ya K-Lynn

Baada ya kuwa kimya kwa muda sasa, mwanadada Jackline Ntuyabaliwe maarufu kama K-Lynn aliyewahi kuwa miss Tanzania kwa miaka ya nyuma, ameamua kuweka wazi picha yake akiwa na familia yake yenye, mumewe na watotowao wawili.

Kama unakumbukumbu mwanadada huyo alishapost picha akiwa na wanae kwenye baadhi ya mitandao ya kijamii na kuandika ujumbe wa kumu'wish mumewe siku yake ya kuzaliwa mwishoni mwa mwezi Mei.
''Today is very special!Its the birthday of the love of my life,my best friend and the father of my twins.Happy birthday my love @reginaldmengi''

No comments:

Post a Comment