Saturday 27 July 2013

Bright is baaaaaack!

Mkali aliyetamba na ngoma ya "Nimemuona" aliyomshirikisha mkali toka Moro - Town, "Belle 9"...hapa namzungumzia Bright.
Amekuwa kimya kwa muda kutokana na taratibu zake za muziki na sasa amejipanga na kuja upya, kwa mujibu wa prodyuza wake Mona Gangstar amesema Bright alikuwa anajikoki na sasa ameamua kuja na mshindo wa ajabu, kama ilivyo ada kuwa kimya kingi kina mshindo.
Basi kama wewe mshabiki wa Bright kuwa tayari kupokea kazi yake mpya ambayo iko mbioni kudondoshwa.

No comments: