Thursday 25 July 2013

Ajali ya treni iliyouwa huko Hispania

Treni iendayo mwendo kasi imepata ajali huko Kaskazini Magharibi huko Hispania ambapo inaaminika watu wapatao 20 wamepoteza maisha na wengine kadhaa kujeruhiwa kati ajali hiyo ya treni la abiria lililobeba takribani abiria 200 waliokua wakisafiri.
 
Moja ya mabehewa limeonekana likiwa linawaka moto na jingine kukatika katikati kwenye eneo la ajali hiyo karibu na Santiago De Compostela ambapo ilikua ikisafiri kuelekea Ferrol Kaskazini Magharibi mwa Hispania.

No comments: