Saturday 11 May 2013

Prof Jay asisitiza kura za kill ziwe za kustahili

Legendary Prof Jay amefunguka machache kuhusu upigaji kura kwenye tuzo za Kill Music Awards zinazotarajiwa kufanyika June mwaka huu. Jay amefunguka baada ya kuona promo zinazofanywa na baadhi ya wasanii kupitia mitandao ya kijamii zikiwa ni za kujiombea kura binafai, hivyo ameandika ujumbe huu kupitia mitandao tofauti;

BBM:

"Nawaomba sana WATANZANIA mpigieni kura mwanamuziki aliyefanya vema kwenye TUZO za KILIMANJARO ili iwe changamoto kwa wengine, Sio KIBINAFSI".


Pia katika akaunti yake ya twitter ametweet
@Profesa_Jay nimechaguliwa katika category 2 tofauti nichague kama unadhani nastahili NIPIGE CHINI kama unadhani sistahili.

#salute sana legendary

No comments:

Post a Comment