Saturday 11 May 2013

Alichosema madam Rita kuhusu ukimya wake kwa muda

Baada ya kuwa kimya kwa muda sasa yule Chief Judge wa BSS, Madam Ritha Paulsen ameandika maneno haya kupitia ukurasa wake wa Facebook....namnukuu.." Kumekuwa na maswali mengi ya kwanini sionekani na niko kimya sana. Kujibu maswali hayo ni kwamba nimekuwa siko sawa kiafya.

Lakini nashukuru Mungu sasa naendelea vizuri. Ahsanteni sana kwa kunionyesha upendo wenu.

Nawatakia weekend njema".

No comments:

Post a Comment