Wednesday 8 May 2013

Barnaba ala shavu nono na Barclays Bank

 Elias Barnabas a.k.a Barnabas kutoka jumba la vipaji Tanzania hivi karibuni alikuwa nchini Kenya kwa ajili ya kusign mkataba mnono  na bank ya barclays na kutengeneza nyimbo maalum ambayo itakuwa kama nyimbo ya kuamasisha wananchi wa kitanzania kwenye suala la afya za wakina mama na wajawazito, wameingia studio kurekodi nyimbo hiyo kuleta radha tofauti. Barnaba na Kidumu ndio mabalozi wa huo mradi, na baada ya hapo mradi huo na wimbo huo utazinduliwa mapema tarehe 8 June
 Barnabas akiwasiri nchini kenya
Huu ndio mkataba wa msanii huyo

No comments:

Post a Comment