Friday 3 May 2013

Balotelli apigwa kibuti na demu wake

Mshambuliaji huyo wa AC Millan pia ni mchezaji wa zamani wa Man City, Mario Balotelli amepigwa chini na kipenzi wake Fanny Neguesha baada ya kutoa kauli chafu kwa mpenzi wake huyo "Fanny". Balotelli alitamka kauli iliyodaiwa kuwa ni kumdharirisha binti huyo, kwani alitamka kuwa endapo Real Madrid watapita kwenye michuano iliyofanyika jumanne ya wiki hii "UEFA champions League" pale Madrid walikutana na Dortmund nakuweza kutinga fainali basi angemtoa mpenzi wake huyo akalale na wachezaji hao akiwemo Christiano Ronaldo.....namnukuu: "if Real Madrid make it to the Champions League final, I will let my girlfriend sleep with all their players".

Baada ya kauli hiyo Model Huyo Fanny mwenye umri wa miaka 22 ameamua kumpiga kibuti striker huyo, hata hivyo Balotelli amejaribu kumuomba msamaa kwa kuahidi kumnunulia gari aina ya Ferrari F450 yenye gharama ya £ 200,000.

No comments: