Thursday 11 April 2013

alichosema kala jeremiah kuhusu video yake na dyna@Singida

Kala Jeremiah
Baada ya kuwepo kwa video iliyopewa vichwa kibao vya habarikuhusu wasanii hao Kala na Dayna, hivyo mkali wa miondoko ya Hip Hop bongo pia rapa wa kibao cha Dear God mtu mzima Kalla Jeremiah aamua kufunguka juu ya ukweli wa video hiyo, nakuwaomba watanzania wamuelewe hivyo asemavyo na si uzushi mingine.
"SIKU CHACHE ZILIZOPITA TUKIWA MKOANI SINGIDA MIMI NA DAYNA NYANGE PAMOJA NA KITALE RAIS WA MATEJA TUKIWA HOTELINI TUKIANGALIA TANGAZO LA MOVIE MPYA YA KITALE NA HAYATI SHARO MILIONEA AMBAYO ITATOKA HIVI KARIBUNI BAADA YA KUANGALIA TANGAZO HILO NDIPO UKAIBUKA MJADALA KUTOKA KWA KITALE AKIDAI ALIKUWA AMEPANGA KUFANYA MOVIE NYINGINE NA MAREHEMU SHARO. NDIPO AKAULIZA KAMA SISI TUNAWEZA KUFANYA MOVIE?. TUKASEMA MBONA MZUKAA TU. KI UKWELI KITALE SIYO MTU WA KWANZA KUNIOMBA KUCHEZA MOVIE ILA NILISHANGAA KUONA NAKUBALI KI URAHISI NA HASA BAADA YA KUNIPA STORY YA MOVIE YENYEWE BASI BWANA KILICHOFUATA AKASEMA NGOJA NIWAPE SCENE MOJA MJARIBU TUONE hahahahahaha KILICHOFUATA KILA MTU HAKUAMINI SI NDO TUKAKAMUA KWA UWEZO KULIKO HATA WALE WENGINE!. KILA MTU ALIYEKIONA KIPANDE KILE TULICHOKISHOOT ALIKUBALI KUWA KWELI SANAA KWENYE DAMU BAHATI MBAYA ZAIDI KIPANDE HICHO KILIPOINGIA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII KILA MMOJA ALIKIPA KICHWA CHA HABARI ALICHOTAKA YEYE MWISHO WA SIKU KIKAZUA GUMZO KUUUUUBWA NA HASA KWA WATU AMBAO SIMU ZAO HAZIWEZI KUANGALIA VIDEO WALIISHIA KUSOMA VICHWA VYA HABARI NA KUSHINDWA KUELEWA KAMA KWELI MCHUNGAJI KAFANYA VILEEEEEE? MPAKA LEO KUNA MASWALI MENGI SANA VICHWANI MWA WATU "
Hivyo ndivyo alivyofunguka mtu mzima Kalla Jeremiah makali wa Hip Hop na pia ni mshindi wa4 kwenye BSS - 2009 akiwa anaiwakirisha Hip Hop ipasavyo.

Hii ndio video yenyewe iliyozua utata

 hii ndio video yenyewe iliyomake headline kwenye baadhi ya mitandao ya kijamii
 na kuwaelewa vibaya stars hao.

No comments: