Hii ndio chombo iliyonifikisha safari yangu
Kwenye bus
Before new year (10pm)
After new year (12:01am)
Next day after new year
Namshukuru mungu kwa mara nyingine, kwa uwezo wake mwingine wa kunifanya niuone tena mwaka mwingine na jamaa zangu wengine, maali pengine huku tukisherekea kwa ndovu, castle, tusker na vinywaji vingine...
No comments:
Post a Comment