JK and Ray C
Mh.Raisi
Kikwete akiwa na mwanamuziki Rehema Chalamila aka Ray C leo Ikulu
Jijini Dar es Salaam wakati mwanamuziki huyo alipoenda kumtembelea Raisi
na kumpa shukrani kwa kumsaidia kwenye matibabu ya juu ya ugonjwa
uliokuwa ukimsumbua.
Aidha Ray C alimueleza Raisi kwamba afya yake
imeimarika na kwamba muda mfupi ujao atarudi kuendelea na kazi yake ya
muziki. Kwa upande wa mama yake Ray C amemshukuru Kikwete kwa kuokoa
maisha ya mwanae kwa kugharamia matibabu yote ya mwanae.
Mama yake mzazi Ray C (Margreth
Mtweve)
JK, Ray C na dada wa Ray C (Sarah Mtweve)
source: baabkubwa magazine
No comments:
Post a Comment