Ni baada ya wadau weeeengi wa muziki wa bongo fleva kuifananisha track ya Amerudi ya Belle 9 na track ya Body on me ya Nelly akiwa na Ashant na Akon, C.E.O nimeamua kuiweka wazi hii kitu.
Isikilize hapa
Belle 9 kwenye moja ya clip za ngoma hiyo ya Amerudi
Akon, Ashant na Nelly katika moja ya clip za body on me
No comments:
Post a Comment