
Majaji wa EPIQBSS wakipongezana

Washiriki wakijiandikisha

Baadhi ya washiriki wakisubiri kuitwa kuonesha vipaji vyao

Washiriki wakiwa kwenye foleni wakiingia kuonesha vipaji vyao

Moja wa majaji (Salama Jabir) aki'hag na mmoja wa
washiriki kama ishara ya kukubali alichokifanya

Washiriki wakisikiliza maelekezo yaliyotolewa na wahusika

Mmoja wa washiriki akiwa na namba yake ya ushiriki

Miongoni mwa washiriki akionesha mauwezo yake
SOURCE:EPIQ BSS's fb page
No comments:
Post a Comment