kutoka kwa rafiki wangu wa facebook amenitumia hii habari niwataarifu wadau
"Watanzania especially wakazi wa Tanga na Dar be aware na huyu jamaa Juma Hassan Kaoneka ni tapeli. Anajidai ni mfanyabiashara tena anapenda kufanya shughuli za udalali wa kuuzia watu vitu, akichukua kitu chako ukae ukijua ndo umetoa msaada maana hautoambulia hata senti.
Kashadhulumu watu kibao muogopeni kama ukoma jamaa ni mission tu hana lolote kazi yake ni longolongo manano mengi na kujidai mswalihina kumbe ni mwizi na tapeli".
Kashadhulumu watu kibao muogopeni kama ukoma jamaa ni mission tu hana lolote kazi yake ni longolongo manano mengi na kujidai mswalihina kumbe ni mwizi na tapeli".
Juma Hassan Kaoneka
or
anatumia jina la Don Jay kwenye mtandao wa kijamii "facebook"
kuweni waangalifu kwa hilo...
special thanks to Aziza
12 comments:
Yeh huyu kaka ni tapeli jamani, tlast someone unmasked hm,tena anadanganyaga watu yupo dubai,ukimtumia pesa umeliwa!kumbe kwao tanga?mweh najuutah
Heee bob kumbe ndo kazi yake hii..jaman mie nilioneshwa mpaka duka kaniambia kafungua barabara ya 3..maskin ukikutana nae utadanganyika na maneno yake..!
anatafuta kifo huyu, ataielewa mitaa
Habari zenu???
Kwanza nasikitika sana kuona habari kama hii pamoja na picha yangu bwana Mussa Matokeo unatakiwa kabla ya kutoa habari ya mtu uwe na uthibitisho na uhakika na unachokitoa, Aziza Mkwata namfahamu kma dada yangu na wazazi wetu pia wanafahamiana vizuri tena sana sasa nashindwa kuelewa kwanini ameamua kufanya haya aliyoyafanya ila mwisho wa siku ukweli hujitenga na uongo....
Kwa upande wangu mm Juma Hassan Kaoneka namfahamu vizuri sana sababu nilisoma nae Secondary na nimeshafanya nae biashara mara nyingi tena muda mrefu lakini nashangaa kuona hii habari coz hajawahi kunifanyia kinyume na nimeshamuunganisha na watu wengi kibiashara lakini hawajawahi kunilalamikia na mara kwa mara naenda Dubai ndipo shughuli zake zilipo ila kwasasa najua yupo Tanzania kwa mapumziko..
Habari zenu???
Kwanza nasikitika sana kuona habari kama hii pamoja na picha yangu bwana Mussa Matokeo unatakiwa kabla ya kutoa habari ya mtu uwe na uthibitisho na uhakika na unachokitoa, Aziza Mkwata namfahamu kma dada yangu na wazazi wetu pia wanafahamiana vizuri tena sana sasa nashindwa kuelewa kwanini ameamua kufanya haya aliyoyafanya ila mwisho wa siku ukweli hujitenga na uongo...
Mimi ni mkazi wa Mwanza nilimpa Shilingi Milion 25 Augost mwaka jana aniletee Fuso kutoka Dubai aliniletea sasa kulikoni tena.....
Dah!!! Vp tena Juma kwani umemfanya nini hyu bint mbona anakudhalilisha kiac hiki.
Kama alikuletea ( i doubt) shukuru..... Wengi katutapeni....na isitoshe wapo wanaomtetea tu......tapeli huyo mtu hafai
Hyo mkaka hafai....mara ajifanye..... Partner homeshoping centre, carmel oil.... anasaidia watu kuwainua kiuchumi. vyote yeye na hyo jayhans investment anayosema anaimiliki (cjui located wapi.).... Na ushekhe mwingiiiiii...... Hamna kitu.... Anakwambia ye mfanya biashara mkubwa nchini....lakini ni tapeli mbwa.... Mfatilieni kama mnaona anaonewa mtagundua.... Msimwamini kabisaaaaaaaaaaaaaa
Huyu Jamaaa alimtapeli Jamaa yangu dola 2000 akimuahidi anameleta Carina Ti mwisho wa siku kaingia Mitini na dola 2000 porojo nyingi sana
T c r a kweli wapo
Post a Comment