Thursday, 19 January 2012

R.I.P MH. JEREMIA SUMARI

Mh. Jeremia Sumari  
" TAARIFA zilizotufikia muda huu zimethibitisha Mbunge wa 
Jimbo la Arumeru kupitia Chama cha Mapinduzi CCM,
Jeremia Sumari, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo 
katika Hopitali ya Muhimbili jijini Dar es Salaam,
alikokuwa amelazwa kwa ugonjwa wa Kansa ya kichwa. 
Bwana alitoa na Bwana ametwaa Mungu ailaze roho ya
marehemu mahala pema peponi, amina"

No comments: