Cluser iliyokanyagwa kwa bahati mbaya
Baadhi ya heavy tracks zinazotumika Migodini
Hapa ni ile cluser iliyokanyagwa kabla haijakanyagwa
Kwa mujibu wa alienipa picha hizi hakunipa
ruhusa ya kutaja ni mahali gani hizi picha
zimepigwa (mgodi gani)
ila jua ni hapa hapa Tanzania
No comments:
Post a Comment