Thursday, 29 December 2011

WHICH IS WHICH? MNATUCHANGANYA!

Nikiwa mdau na mfuatiliaji wa habari mbalimbali hasa za
events mbalimbali kutokana na ninachokifanya "as a blogger"
kuna tangazo ambalo limezua utata hususani mie binafsi nimeshindwa
jua lipi ni tangazo sahii, sababu kuna tangazo moja nimesoma
kupitia blog ya choka na lingine nimetumiwa na page ya New Maisha Club
kuhusu uzinduzi wa album ya Diamond, moja linasemani uzinduzi 
wa album ya Diamond ambayo inaitwa LALA SALAMA
na lingine linasema album inaitwa MAWAZO..sasa sijajua
ukweli uko wapi...
 Hili kutoka kwenye blog ya Dj Choka
Hili kutoka page ya New Maisha Club
Sasa wahusika ebu tuwekeni bayana juu ya hii kitu

No comments: