Friday, 9 December 2011

MAAZIMISHO YA MIAKA 50 YA UHURU

 
Rais Dk. Jakaya Kikwete akipungia mkono wananchi 
wakati alipowasili kwenye uwanja wa uhuru kwa ajili
ya kuongoza sherehe za miaka 50 ya uhuru wa Tanzania
Rais jakaya Kikwete akipokea heshima wakati mizinga 
ikipigwa na jeshi la wananchi kwa heshima ya Rais
Hiki ni kikosi cha Jeshi la wananchi wanamaji kikiwa 
tayari kutoa heshima kwa amiri jeshi mkuu na Rais wa
Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Kikwete
Rais Jakaya Kikwete akikagua vikosi vya ulinzi na usalama,
kikosi hiki ni cha Jeshi la Wananchi wanaume.
Rais Jakaya Kikwete akielekea Jukwaa kuu baada ya 
kukagua gwaride, huku akiwa ameongozana na 
Mkuu wa Majeshi nchini Jenerari Davis Mwamunyange.
Rais Jakaya Kikwete akikagua vikosi vya ulinzi na usalama,
kikosi hiki ni cha Jeshi la Wananchi wanawake
Rais Dk. Jakaya Kikwete akisalimiana na viongozi wa 
nchi mbalimbali waliohudhuria katika maadhimisho 
ya miaka 50 ya uhuru hapa akisalimiana na 
Rais wa Namibia Mhshimiwa Hifikepunye Pohamba.
 Hiki ni kikosi cha jeshi la JWTZ wakati wa 
maandalizi ya kuazimisha miaka 50 ya uhuru
Vijana wa scout wakijifua kwaajili ya 
maazimisho ya miaka 50 ya uhuru,
PICHA KWA HISANI YA LUKAZA BLOG

No comments: