Monday 29 August 2011

LADY GAGA ASUMBUA VMTV AWARDS

Mwanamusic wa popnchini marekani anayejulikana kwa kuvaa mavazi yanayotisha na yenye gharama kubwa. Jina lake halisi ni Stefani Joanne Angelina Germanotta, amezaliwa March 28, 1986, wengi wenu mnamfahamu kwa jina la Lady Gaga, juzi amekuwa kinara baada ya kunyakua tuzo mbili za vedio katika tuzo za MTV VEDIO AWARDS. Lady Gaga alinyakua tuzo ya mwanamuziki bora wa kike kwa vedio yenye ujumbe na vedio bora inayoitwa "Born This Way"

No comments: