Monday 29 August 2011

BEYONCE AWEKA WAZI MIMBA YAKE

 Beyonce akiimba stejin
Beyonce ameamua kuusibitishia ulimwengu kuwa sasa ni mjamzito, Beyonce aliweka wazi swala hilo juzi kwenye tuzo za MTV VEDIOS baada ya kuimba na kisha kuionesha mimba yake.
Ameamua kuziba maneno ya walio wengi wakisema kuwa yeye hazai, hata hivyo ni furaha pekee kwa mumewe Jay Z.

No comments: