Friday, 18 June 2010

USHER NAE KUPERFORM BET AWARDS

Miongoni mwa mastar ambao wamepewa shavu la kuperform kwenye tuzo za BET 2010 ni pamoja na Usher. Vilevile  na mastar wengine kama Alicia Keys, Eminem na T-pain

No comments: