Kutoka Hollywood, Los angles ambako kunatarajiwa kufanyika kea tuzo za BET 2010 (BET Awards). Rapa maarufu Jay-Z amechaguliwa kuwa miongoni mwa wasanii waliochaguliwa kugombea video bora ya mwaka yeye na mkewe Beyonce, mbali na kuwa amechaguliwa kwenye mwimbaji bora wa kiume.
No comments:
Post a Comment