Tuesday, 22 June 2010

RIHANA NAE AACHI TU?!

Mwimbaji wa RnB Rihanna ameweka wazi juu ya uuhusiano baina yake na Drake. Kutokana na uvumi ulioanza kujitokeza kwamba wasanii hao wanauusiano kwa kitendo cha Drake kumtaja Rihanna kwenye nyimbo yake.habari zaidi bonyeza hapa

No comments: