Monday, 21 June 2010

KAKA KALA RED CARD

imiongoni mwa maajabu yaliyowashangaza wapenzi wengi wa mpira hususani wale wa Brazil baada ya mshambuliaji na kiungo wa Brazil 'KAKA' kupewa kadi nyekundu kwenye mchezo zidi yao na Ivory coast baada ya kumpiga kipepsi mchezaji wa Ivory Coast 'Abdul Kader Keita'.. Brazil iliitandika Ivorycoast 3-1
 
Didier Drogba akimuuliza kaka kulikoni
Dunga akionesha kuchukizwa na hilo

No comments: