Sunday, 1 December 2013

Video:Davido akisherehekea b'day yake

Davido Adeleke, maarufu kama Davido mkali wa Skelewu...jana amesherehekea siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwake na kutimiza miaka 21 huko kwao Lagos, Nigeria na kufanya bonge la party kwa kuwakaribisha rafiki, ndugu na jamaa zake wa karibu kusherehekea party hiyo.

No comments:

Post a Comment