Sunday, 1 December 2013

Picha:Tyrese aangua kilio cha uzuni kwenye mazishi ya Paul Walker

Muigizaji filamu mwenzie pia ni rafiki wa karibu sana na marehemu Paul Walker amejikuta akiangusha kilio kilichojaa huzuni mkubwa pale alipowasili kwenye sehemu maalumu aliyowekwa kama kumbukumbu ya staa huyo na kisha kuweka ua la njano, na kuondoka na majivu ya mwili wa Paul kama ishara ya kumbukumbu kwa jamaa ake.

No comments:

Post a Comment