Tuesday, 12 November 2013

Balaa lingine alilofanya Diamond


Baada ya kufanya balaa katika uwekezaji, mkali wa muziki wa Bongo Fleva "Nasib Abdul" maarufu kama Diamond...ametupia mjengo wake mpya ulio katika hatua za ujenzi unaoendelea na kuandika maneno yanaosema.."toa kitu weka kitu ndio tulivyofunzwa...starehe tunawachia wajanja wa mji".

Kwa mujibu wa maneno hayo ni dhahiri kuwa ni mjengo wake na anajikita zaidi katika uwekezaji na sio kufanya starehe kama wengine wanavyofanya.

No comments:

Post a Comment