Tuesday, 22 October 2013

Zoezi la Diamond @ Instagram

Ni zoezi ambalo analiendesha mkali wa bongo fleva, Nasib Abdul almaarufu kama Diamond Platnumz kupitia mtandao wa kijamii "Instagram"...kwani ameruhusu wadau na wapenzi wa kazi yake ya muziki kuweza kumtumia picha ambayo itaonesha kufanana iwe kwa style ya mavazi au pozi za picha. Zoezi hilo aliloliita "MinaDiamond" limeanza siku ya jumaatatu tarehe 21...mbaka sasa hajasema kama anatoa zawadi au lah!

No comments:

Post a Comment