Sunday, 20 October 2013

Solo kuachia"Mdudu"October 25

October 25,mkali wa lyrics na vina, Solo thang anatarajia kuachia ngoma mpya ambayo for this time inaonekana akiwa na Mr Blue. Single inaitwa "Mdudu" kaa mkao mzuri wa kuisikiliza. 

No comments:

Post a Comment