Sunday, 13 October 2013

YoungKiller:"Moja ya dream zangu"

Msanii wa muziki wa kizazi kipya hususani kwenye miondoko ya Hip Hop, Young Killer Msodoki...leo amefunguka kupitia mtandao wa instagram na kueleza kuwa moja ya ndoto zake ilikuwa ni kuuza sura kwenye gazeti. Young Killer ambaye ni msanii anayeuwakilisha vyema kabisa mkoa wa Mwanza kwenye miondoko hiyo ya Hip Hop baada ya kushinda katika lileshindano la "Super Nyota" kwa mkoa wa Mwanza, amepost picha yake akiwa ametokea kwenye gazeti na kuandika ujumbe unaosema "Moja ya dream zangu.. ilikuwa iv pia...."

No comments:

Post a Comment