Sunday, 13 October 2013

Picha: Mtangazaji Ufoo Saro akitolewa katika chumba cha upasuaji

Mtangazaji wa habari wa kituo cha Televisheni cha ITV, Ufoo Saro akitolewa katika chumba cha upasuaji na kupelekwa wodini baada ya kufanyiwa upasuaji katika hospitali ya Muhimbili na kuondolewa risasi iliyomjerehi mtangazaji huyo ambaye alijeruhiwa na mpenzi wake na kumuua mama yake mzazi na kisha kujiua yeye mwenyewe (mume wake) huko nyumbani kwao Kibamba jijini DSM.

Waandisi wa habari kutoka vituo mbalimbali vya Televisheni wakijaribu kupata picha za tukio hilo

No comments:

Post a Comment