Saturday, 5 October 2013

Bongo Movie Vs Bongo Fleva

Kushoto ni mwanamuziki wa bongo fleva, Sunday Mjeda "Linex" na kulia ni mwanadada Kajala Masanja mkali wa bongo movie...hapo ni kwenye moja ya bata za hapa na pale katika wiki'end hii

No comments:

Post a Comment