Thursday, 11 April 2013

kichupa cha dear gambe by young killa ft belle 9


 Hiki ndicho kichupa cha mtu mzima YoungKilla Msodoki alichomshirikisha Moro Star "Belle 9" kinachoitwa Dear Gambe. Kichupa hiki kilisubiriwa kwa hamu sana na mashabiki wa supernyota huyu. Sasa wadau na mashabiki wa Young Killa radha hii hapa kazi kwemu

No comments:

Post a Comment