Monday, 8 April 2013

baadhi ya picha za mazishi ya jaji Ernest Mwipopo

Judge Ernest Mwipopo enzi za uhai wake
Judge Ernest Mwipopo alistaafu mwakajuzi (2011), ni miongoni mwa viongozi waliolitumikia taifa kwa juhudi kwa kipindi kirefu sana, naweza sema taifa limepoteza moja ya watu muhimu sana.
Amefariki siku ya j5 jioni majira ya saa 10 kwa ajali ya gari lake binafsi baada ya kupasuka tairi la mbele na nyuma maeneo ya msata akitokea Iringa kurudi Dar. Ijumaa mwili waliuga jijini Dar es salaam katika viwanja vya kareem Jee kisha akasafirishwa siku inayofuata kurudi nyimbani kwao Iringa, na jioni wakamzika Mufindi Igowole kijiji cha IBATU. R.I.P Judge Ernest Mwipopo.
(picha zote kwa hisani ya mdau wa blog hii "ATIKO MBOGOLO")

No comments:

Post a Comment