Wednesday, 3 April 2013

Kajala:"hii ndio shukrani yangu kwa wema"

Katika kile kinacho onekana kama kuonesha shukrani zake za dhati kwa Wema Sepetu kutokana na kumtolea shilingi milioni 13 za hukumu yake siku kadhaa zilizopita, muigizaji wa filamu nchini hapa Tanzania Kajala Masanja amejichora tattoo ya jina la Wema…
Wema ameiweka picha hiyo kwenye account yake ya Instagram na kuandika: ''Me Corazon… she calls me her hero… I sooo much appreciate her… my friend, my sister… I’m happy… #pureheart… nothing but a pure heart''...
Kajala alihukumiwa kifungo cha miaka 5 jela au faini ya shilingi 13,000,000 zilizotolewa na Wema…

No comments:

Post a Comment