Wednesday, 5 September 2012

duh! sijui kama ana ndoto za kutembelea GX 100

kama sijakosea ni mzee mwenye umri zaidi ya miaka 45 ila usafiri wake ndio huo, sasa sijui kama kwa hatua na umri alionao kama anawaza hata kununua bajaji au GX 100

No comments:

Post a Comment