Sunday, 2 September 2012

amber rose sasa mambo yameiva

mwanamitindo Amber Rose aliyewahi kuwa mpenzi wa
mwanamuziki pia ni produza, Kanye West ambaye kwa
sasa ni mpenzi wa mwanamuziki Wiz Khalifa, alireportiwa
na baadhi ya vyombo vya habari kuwa ni mjamzito
habari hiyo imekuwa adharani sasa kwa kuonekana
akiwa na tumbo kubwa ikidaiwa kuwa
ni ujauzito wa Rapa huyo "Wiz Khalifa"
Mwanamitindo huyo ambaye hakuwahi skika kwa
kipindi cha nyuma kama ni mjamzito au ana familia
alipokuwa na mahusiano ya kimapenzi na Rapa
Kanye West.

No comments:

Post a Comment