Monday, 27 August 2012

maandamano ya chadema mkoani morogoro

 Ally Zona muuza magazeti wa Msamvu Morogoro.aliye 
pigwa risasi na Polisi katika maandamano ya chadema
Mjini Morogoro kumetokea fujo kati ya Polisi na Wanachama wa Chadema na kupelekea kwa tuhuma za jeshi hilo kudaiwa kuwa walimfyatulia risasi na kumuua kijana mmoja aliyejulikana kwa Jina la Ally Shana.

Fujo hizo kati ya wafuasi hao wa chadema na Polisi, inasemekana zilisababishwa na Wafuasi hao kuyafanya Maandamano yao bila kuwa na kibali kutoka Polisi mkoani hapa, na ndipo Jeshi hilo likachukua hatua ili kuhakikisha hayafanyiki.
 Kijana Frank Valimba Akionyesha baadhi ya Majeraha aliyojeruhiwa na Askari Polisi wakati wa Maandamano ya chama cha CHADEMA mkoani Morogoro.

Hapa ndipo mkutano ulipofanyikia katika viwanja vya 
Kiwanjacha ndege - Morogoro
Jinsi mambo yalivyokuwa kwenye maandamano hayo 
mkoani Morogoro

No comments: