Sunday, 26 August 2012

kuna binadamu wameumbwa na roho ya kinyama sana

Bi Saphia Rashid na wanae waliopata matatizo hayo

“HAYA ni mapenzi ya Mwenyezi Mungu na si kazi ya binadamu, nasikitika kwa sababu mume wangu amenitelekeza baada ya kuona watoto wamevimba kichwa,”

Hayo ni maneno yaliyotamkwa na Sophia Rashid , 22, mkazi wa Chanika nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam ambaye anauguza wanae wawili wanaosumbuliwa na uvimbe wa kichwa.

No comments:

Post a Comment