Thursday, 12 April 2012

LINNAH AWABURUDISHA WADAU WAKE WA WASHINGTON DC

 Linah akivuta hisia kwneye show yake Washington DC
 
 Mdau akmipiga picha Linah alipokua  kwenye show
 Wadau mbalimbali wakicheza kwa furaha song
mbalimbali zilizokua zikiporomoshwa na msanii 
Linah kutoka Tanzania kwenye show yake iliyofana 
sana Washington DC nchini Marekani
 Linah akiiimba kwa hisia kwenye show yake DC
Linnah kwa steji akiwarusha mashabiki wake
 Linah akiwa na waandaaji wa show hiyo

No comments:

Post a Comment