Wednesday, 18 April 2012

FREESTYLE BATTLE @ CLUB BILICANAS

Nani mkali wa mistari, jumapili hii ya tarehe 22/04
ndani ya club Bilcanas. Pambano ambalo
wengi walikuwa wakilingojea lifanyike tena
baada ya kufanyika miaka ya nyuma.
JE, KWASASA NANI KINARA?
usikose!!

No comments:

Post a Comment