Thursday 5 June 2014

Picha za Mh. Komba zilizovuja mitandaoni

Kwa mujibu wa chanzo chetu kimesema kuwa hizi ni baadhi tu ya picha zilizosambaa kwenye baadhi ya mitandao ya kijamii zinazomuonesha Mh. John Komba akiwa kwenye mahaba na baadhi ya warembo walioshindwa kutambulika kwa majina. Hata hivyo chanzo kimesema zipo picha nyingi na zinazomuonesha Mh. Komba akiwa mahabani zaidi na zimeshindwa kuweka mitandaoni kwani si vyema sana kumuanika Mheshimiwa.

Pia chanzo kimesema kuwa Mh. amekanusha ukweli wa picha hizo na kusema kuwa huyo siye yeye bali ni picha zilizofanyiwa editing tu na wale wataalamu wa kucheza na picha na kutaka kumzalilisha.

CHANZO: Hassybaby Blog

No comments:

Post a Comment