Friday 6 June 2014

FastJet wajitolea kumsupport Diamond

Shirika la ndege la FastJet, wamejitolea kumsupport msanii Diamond Platnumz kama mwakilishi wa tuzo za MTV Africa Music Awards zitakazofanyika nchini Afrika ya Kusini. Kwa namna hiyo basi wameonesha mchango wao mkubwa sana na kuweza kujali kazi za wasanii wa nyimbani.

No comments: