Tuesday 6 May 2014

Keisha apata mtoto

Ni picha aliyoipost mwanamuziki keisha kwenye account yake ya instagram pasipo kuandika ujumbe wowote ule...
Ila kwa kutazama picha waweza elewa nini amemaanisha!!

Hongera sana dada

No comments:

Post a Comment