Thursday 15 May 2014

Alichokifanya Rihana baada ya Steve Soboroff kuharibu simu yake

Mwanadadashost Rihanna ameonesha moyo wa kipekee baada ya kufanya kitendo ambacho watu wengi hawakutegemea...mwanadada huyo ameingia gharama ya $25,000 za kimarekani baada ya simu ya Police Commission President wa Las Angles "Steve Soboroff" kudondoka na kuharibika wakati wakiwa kwenye game ya NBA mwishoni mwa wiki iliyopita.

Mwanadadashost aamua kutoa kiasi hicho cha pesa ili kumnunulia simu nyingine mpya Afisa huyo, Soboroff

No comments:

Post a Comment