CHANZO:"Makorokocho Blog"
Mwanadada
Aisha Sued anayeishi Ilala karibu na Kituo cha basi Msaada Garage
amedai kuwa siku ya Pasaka ameshambuliwa na Msanii wa Bongo flava Rapper
Chidi Benz na kuumizwa vibaya mdomoni hadi kushonwa nyuzi 18, Tukio
hilo inasemekana lilitokea katika Bar moja iliyoko maeneo ya Ilala usiku
wa sikukuu ya Pasaka, kwa wakati huu Chidi Benz Tangu usiku wa siku ya
Pasaka tarehe 20 April 2014 ametiwa nguvuni na jeshi la polisi na yupo
kituo cha polisi Pangani Ilala kwa madai ya Shambulio na kumuumiza
vibaya Aisha Sued.
- See more at:
http://www.makorokocho.co/2014/04/chidi-benz-atupwa-selo-kwa-kumpasua.html#sthash.g7vz50oM.oKz1XmFH.dpuf

No comments:
Post a Comment